Hii ndiyo picha ya kisiwa cha MAFIA kama kinavyoonekana kisiwa hiki kilichozungukwa na bahari kuu ya hindi
KARIBUNI TUJUMUIKE PAMOJA KATIKA HII BLOG ILI KUWEZA KUFAHAMU MACHACHE YANAYOJILI NA KUPATIKANA NDANI YA KISIWA HIKI CHA MAFIA
Ijumaa, 17 Mei 2013
PICHA YA KISIWA CHA MAFIA
Hii ndiyo picha ya kisiwa cha MAFIA kama kinavyoonekana kisiwa hiki kilichozungukwa na bahari kuu ya hindi
KIFAHAMU KISIWA CHA MAFIA
Kisiwa cha Mafia
Mafia ni funguvisiwa cha Kitanzania pamoja na jina la kisiwa kikubwa ndani yake inayotazama mwambao wa Afrika ya Mashariki 130 km kusini ya Daressalaam karibu na mdomo wa Mto Rufiji. Umbali wake na bara ni 16 km.
Mafia kisiwa kikuu ina urefu wa 20 km na upana wa 8km; eneo lake ni takriban 400 km². Inajulikana pia kwa jina "Chole shamba" kutokana na mji wa kale wa Chole iliyokuwepo kwenye kisiwa kidogo cha Chole mjini karibu na kisiwa kikuu.
Wilaya
Wilaya ya Mafia ni kati ya wilaya 6 za mkoa wa Pwani ikiwa na wakazi 40,801 (2002). Mji mkuu na makao makuu ya wilaya ni Kilindoni.
Tarafa za wilaya ya Mafia ni kama zifuatazo:
Historia ==
Kihistoria Mafia ilikuwa mahali pa miji ya kale ya utamaduni wa [[Waswahili]] kama vile miji ya Chole na Kua. Baada ya kuondoka kwa [[Wareno]] ilikuwa chini ya Sultani wa [[Omani]] baadaye ya [[Zanzibar]].
Mwaka 1892 Wajerumani walinunua Mafia kutoka Sultani ya Zanzibar ikawa sehemu ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. 1915 Waingereza waliteka kisiwa wakishambulia [[manowari]] ya Kijerumani ya [[SMS Königsberg]] mdomoni wa mto [[Rufiji]] kutoka Mafia. Baada ya mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] Mafia imekuwa sehemu ya Tanganyika sio tena Zanzibar.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
